Kilio kikuu cha Yesu, Eloi, Eloi, lama sabakthani?, yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?, na Imekwisha, vilitabiriwa katika Zaburi 22 ili watu waliompinga Kristo waamini kama Yesu alikuwa Masihi. Zaburi 22 ulikuwa wimbo maarufu katika kipindi cha karne ya kwanza, kipindi ambacho Yesu alizaliwa na kufa, uliotungwa na mfalme Daudi, ulioitwa zaburi ya mateso na matumaini ya mwadilifu. Kwa hiyo Yesu aliposema maneno hayo yaliwaingia watu akilini, na kuanzia hapo imani hasa ya Ukristo ikachukua kasi hadi leo hii. Zaburi 22 inaanza na Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? na inaisha na Imekwisha, miongoni mwa maneno saba aliyoyasema Yesu pale msalabani Golgotha. Kwa hiyo, Zaburi 22 ni utabiri wa kifo cha Yesu.
christ
christianity
cross
eloi-eloi-lama-sabakthani
faith
first-century
golgotha
imani
imekwisha
it-s-finished
jesus
jesus-death
karne-ya-kwanza
kifo-cha-yesu
king-david
kristo
maneno-saba
masihi
messiah
mfalme-daudi
msalabani
mungu-wangu
my-god
psalm-22
seven-words
song
ukristo
wimbo
yesu
zaburi-22
About This Quote
About Enock Maregesi
Enock Maregesi.
Themes
- Faith — Reflections on belief, spirituality, and trust in the unseen